Hebrews 10:12-14

12 aLakini huyu kuhani akiisha kutoa dhabihu moja kwa ajili ya dhambi kwa wakati wote, aliketi mkono wa kuume wa Mungu. 13 bTangu wakati huo anangoja mpaka adui zake wawekwe chini ya miguu yake, 14 ckwa sababu kwa dhabihu moja amewafanya kuwa wakamilifu milele wale wote wanaotakaswa.

Copyright information for SwhKC